Gurudev Ramlalji Siyag (1926-2017)

Baba Gangainathji (Unknown-1983)

GSY

Guru Siyag Yoga

Bure

Hakuna mchango

GSY

Guru Siyag Yoga

Hakuna usajili

Hakuna mafunzo

GSY kifupi
Mazoezi ya GSY yanahusisha kurudia kuimba (kurudia akilini) .. Read more
Shaktipat
GSY inatokana na Ashtanga yaani falsafa ya (viungo .. Read more
Kundalini
Kurudiarudia kuimba na kutafakari pamoja kunamuamsha ..Read more
Meditation
Kaa katika mkao wa kutulia. Unaweza kukaa kwa kukunja .. Read more

Gurdev Shri Ramlalji Siyag (1926-2017)

    Baba Shri Gangainathji Yogi (Unknown-1983)

      GSY katika kifupi

      Mazoezi ya GSY yanahusisha kurudia kuimba (kurudia akilini) maneno ya sala ya kiungu na kutafakari. Guru Siyag humwingiza mwombaji katika GSY kama mfuasi wake kwa kumpa neno la sala ya kiungu -- kulirudia kimyakimya muda wote wa saa na pia humfundisha mbinu ya kutafakari. Kurudia kuimba (Japa) neno la sala ya kiungu kunakuwa bila hiari wakati kunaporudiwa mara kwa mara muda wote kwa kipindi cha muda fulani. Hata hivyo hii inategemea moja kwa moja na kiasi cha bidii, imani na usafi ambao kurudia kuimba kunafanyika. Katika hali fulani kurudia kutamka/kuimba kunafanyika bila hiari baada ya zaidi ya wiki tu ya mazoezi wakati katika Read more
      Msaada kutafsiri GSY
      We invite people to help us propagate Guru Siyag's Yoga and its benefits by translating the material on this website in their local languages. We have made an attempt to translate some content of the English website in several languages. However, there is still a lot of work to be done, and we would appreciate any help in getting more data translated. We are grateful to practitioners in Germany, Brazil, Greece and Colombia who have helped us in translating the website in German, Portuguese, Spanish, French, Arabic, Hebrew, Greek, Persian, Swahili and Filipino (Tagalog). More contributions are welcomed!

      Njia ya kujitambua

      error: Content is protected !!