Kutafakari kwa GSY na kurudia muda wote maneno ya sala ya kiungu yaani mantra yaliyotolewa na Guru Siyag huleta mabadiliko yafuatayo katika maisha ya mwombaji:
- Uhuru kutoka kila aina ya magonjwa ya kimwili ikiwa ni pamoja na VVU / UKIMWI, kansa, Pumu, shinikizo-la-damu la juu au chini, maumivu ya viungo, Kisukari, Spondilitisi, Himofilia, Unene kupita kiasi, maradhi ya moyo, Kiharusi cha kupooza, magonjwa ya ngozi, nk.
- Uhuru kutoka ulevi kwa aina yoyote ya madawa ya kulevya na vitu, pombe, sigara, kutafuna tumbaku n.k. GSY pia humwondoa mwombaji kutoka katika utegemezi hatarishi wa chakula.
- Uhuru kutoka katika ugonjwa wa sononeko la moyo, kukosa usingizi, msongo na magonjwa mengine ya kisaikolojia.
- Uhuru kutokana na matatizo yanayohusiana na mambo ya kifamilia, kazi, ndoa, elimu, fedha n.k.
- Uhuru kutokana na athari za Voodoo, uchawi mbaya na mila za dini za kiasia za tafakari.
- Manufaa kwa wanafunzi ni kwa vile GSY husababisha ongezeko mbalimbali katika kushika na kuhifadhi, na uwezo kufuatilia au kuzingatia kwa kuweka akili juu ya kitu chochote kinachotakiwa au somo fulani.