Kutafakari kwa GSY na kurudia muda wote maneno ya sala ya kiungu yaani mantra yaliyotolewa na Guru Siyag huleta mabadiliko yafuatayo katika maisha ya mwombaji:

  • Uhuru kutoka kila aina ya magonjwa ya kimwili ikiwa ni pamoja na VVU / UKIMWI, kansa, Pumu, shinikizo-la-damu la juu au chini, maumivu ya viungo, Kisukari, Spondilitisi, Himofilia, Unene kupita kiasi, maradhi ya moyo, Kiharusi cha kupooza, magonjwa ya ngozi, nk.
  • Uhuru kutoka ulevi kwa aina yoyote ya madawa ya kulevya na vitu, pombe, sigara, kutafuna tumbaku n.k. GSY pia humwondoa mwombaji kutoka katika utegemezi hatarishi wa chakula.
  • Uhuru kutoka katika ugonjwa wa sononeko la moyo, kukosa usingizi, msongo na magonjwa mengine ya kisaikolojia.
  • Uhuru kutokana na matatizo yanayohusiana na mambo ya kifamilia, kazi, ndoa, elimu, fedha n.k.
  • Uhuru kutokana na athari za Voodoo, uchawi mbaya na mila za dini za kiasia za tafakari.
  • Manufaa kwa wanafunzi ni kwa vile GSY husababisha ongezeko mbalimbali katika kushika na kuhifadhi, na uwezo kufuatilia au kuzingatia kwa kuweka akili juu ya kitu chochote kinachotakiwa au somo fulani.
error: Content is protected !!