- Mazoezi ya GSY hayahusisha mila, matendo ya taratibu za ibada, desturi na sadaka (nazi, ubani, maua n.k.).
- Mtafutaji/Mwombaji katika sehemu yoyote ya dunia anaweza kuona tafakari ya kina kwa kutafakari tu kwenye picha ya Guru Siyag.
- Guru Siyag hasisitizi kwa waombaji kukutana naye ana kwa ana kwa ufundwaji/kufunzwa.
- Uanzishwaji kitu/Kufundwa kwa GSY kupitia video/audio CD, matangazo ya TV au kipande cha video kwa barua pepe ni fanisi/inatosha kama ilivyo katika uanzishwaji/ufundjwaji wa mtu.
- Kama mwombaji/mtafuta msaada anashindwa kwa sababu fulani (mtendaji ni mtoto mdogo au akiwa hana fahamu au mlevu kiakili) kuimba sala ya Guru Siyag na kufanya tafakari, jamaa au rafiki yeyote wa karibu aliyefundwa anaweza kuimba na kufanya taratibu kwa niaba yake.
- Guru Siyag hatoi kozi au hafanyi madarasa yoyote kwa Yoga.
- GSY ni bure kabisa bila gharama.
- Hakuna usajili unaohitajika kwa ajili ya GSY.
- Guru Siyag haombi zawadi ya fedha au za aina hiyo kutoka wanaotafuta kufundwa GSY.
- Hakuna milo maalum au vikwazo vya mitindo mingine ya maisha chini ya GSY.
- Guru Siyag hazuii wafuasi wake kufuata taratibu zingine za Gurus baada ya kufundwa/kufunzwa.
- Guru Siyag hatoi mahubiri ya kidini. Yeye anaelezea tu falsafa ya GSY.
- Guru Siyag hauzi /hatoi dawa, dawa za mimea, tiba mizizi au bidhaa ya aina yoyote.
- Waombaji wa rangi yoyote, dini, utaifa, tabaka, imani au jinsia yoyote wanakaribishwa katika jamii ya GSY.
error: Content is protected !!